| Main Competence | Specific Competence | Content Covered | Date Started | Date Ended | Teacher's Comment | H.O.D Comment | H/M Comment |
|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1.0 Kumudu misingi ya Kiswahili | 1.1 Kutambua Kiswahili kama kielelezo cha utaifa na utambulisho wa Mtanzania | (a) Kutumia Kiswahili katika mijadala mbalimbali kwa kuzingatia utamaduni wa Mtanzania (mf. matumizi ya tafsida na uteuzi wa maneno kulingana na mila na desturi za Mtanzania) | |||||

| 1.0 Kumudu misingi ya Kiswahili | 2.1 Kukuza uelewa wa sarufi ya Kiswahili | (a) Kutumia Kiswahili katika mijadala mbalimbali kwa kuzingatia utamaduni wa Mtanzania (mf. matumizi ya tafsida na uteuzi wa maneno kulingana na mila na desturi za Mtanzania) | |||||
| 1.0 Kumudu misingi ya Kiswahili | 2.1 Kukuza uelewa wa sarufi ya Kiswahili | (a) Kusimulia habari na matukio kwa kuzingatia kiimbo, mkazo, na lafudhi pamoja na dhima zake | |||||
| 1.0 Kumudu misingi ya Kiswahili | 2.1 Kukuza uelewa wa sarufi ya Kiswahili | (a) Kusimulia habari na matukio kwa kuzingatia kiimbo, mkazo, na lafudhi pamoja na dhima zake | |||||
| 1.0 Kumudu misingi ya Kiswahili | 2.1 Kukuza uelewa wa sarufi ya Kiswahili | (b) Kuandika hadithikwa kuzingatia mpangilio na uhusiano sahihi wa maneno (nomino, vivumishi, vielezi, viwakilishi, vitenzi, vihisishi, vihusishi na viunganishi) katika sentensi |