| Main Competence | Specific Competence | Content Covered | Date Started | Date Ended | Teacher's Comment | H.O.D Comment | H/M Comment |
|---|---|---|---|---|---|---|---|
| UUNDAJI WA MANENO | Kutumia 1 uarnbishaji | 1. Wanafunzi wavitaje na mwalimu aviandike ubaoni., 2. Wanafunzi wabaini mabadiliko ya maana kutokana na mabadiliko ya viambishi. 3. Wanafunzi wafanye mazoezi ya kubadili maana za maneno kwa kubadilisha mofimu. 4. Wanafunzi wataje maneno kadhaa, kisha kwa njia ya majadiliano wabainishe mofimu za kila neno na dhima zake. 5. Wanafunzi wakiongozwa na mwalimu wataje maneno mbalimbali kisha wajadili na kubaini mofimu tegemezi na mofimu hum katika maneno kayo. 6. Wanafunzi watumie mofimu mbalimbali katika kuunda maneno. 7. Wanafunzi watumie maneno hayo katika sentensi. | |||||
| UUNDAJI WA MANENO | Kutumia mnyumbuliko - | 1. Wanafunzi. wajadili na kueleza miktadha inayohitaji
matumiziya maneno mapya. Miktadha hiyo ijumuishe teknolojia, sanaa na sayansi. 2. Wanafunzi wajibu maswali yanayohusu maana na dhima ya uambishaji na mnyumbuliko wa maneno. 3. Wanafunzi wafanye mazoezi ya kuunda maneno mbahmhali. kwa. kutumia mnyumbuliko. 4. Wanafimzi watumie maneno hayo katika miktadha rnbalimbali ikijumuisha masuala ya Ukimwi, Jinsia, Kilimo, Elimu ya Mazingira. | |||||
| MATUMIZI YA LUGHA KATIKA MIKTADHA MBALIMBALI | Rejesta | 1. Wanafunzi washiriki katika maigizo kisha wajadili kuhusu fasili na dhima ya rejesta. | |||||
| MATUMIZI YA LUGHA KATIKA MIKTADHA MBALIMBALI | Misimu | 1. Wanafunzi watoe misimu wanayoijua kisha waeleze
umuhimu na matumizi yake. 2. Wanafunzi wazilete kazi hizo darasani kisha wazijadili katika vikundi | |||||
| MATUMIZI YA LUGHA KATIKA MIKTADHA MBALIMBALI | Lugha ya kimazunguinz o na ya kimaandishi | 1. Wanafunzi wajadiliane na wajibu maswali katika kueleza dhima ya lugha yawatumie lugha ya kimazungumzo na ya kimaandishi katika miktadha sahihi. 2. Wanafunzi kivikundi wafanye mazoezi ya kutumia lugha ya mazungumzo naya maandishi katika miktadha sahihi. | |||||
| MATUMIZI YA LUGHA KATIKA MIKTADHA MBALIMBALI | Matamshi na lafudhi ya Kiswahili | . Wanafunzi wajadili na kubaini tofauti hizo wakizingatia matamshi na lafudhi sahihi ya Kiswahili. |