| Main competence | Specific competence | Learning Activities | Specific activities | Month | Week | Periods | Reference | Teaching and learning methods | Teaching and learning resources | Assessment tools | Remarks |
| 1.0 Kumudu historia ya Tanzania na maadili wakati wa ukoloni, 1890- 1960 | 1.1 Kutumia maarifa na ujuzi wa chimbuko na ukuaji wa mfumo wa ukoloni kuelewa uhusiano wa kihistoria kati ya Tanzania na mataifa yaliyoitawala | (a) Kuchambua chimbuko la ukoloni | Chimbuko la ukoloni limechambuliwa kwa kina | januari | Wiki 2-3 | 2 | TIE(2023) Historia ya Tanzania na maadili, kitabu cha mwanafunzi kidato cha Pili | Utafiti mdogo:
Elekeza wanafunzi
kusoma matini
kutoka katika vyanzo
mbalimbali na
kuandika maelezo
kuhusu chimbuko la
ukoloni. Majadiliano: Ongoza wanafunzi katika vikundi kujadili chimbuko la ukoloni na kisha kuwasilisha darasani kwa majadiliano ya pamoja. |
Matini kuhusu chimbuko la mfumo wa ukoloni Picha mbalimbali kuonesha wataala na shughuli za wakoloni |
|
Remarks Written here |
| 1.0 Kumudu historia ya Tanzania na maadili wakati wa ukoloni, 1890- 1960 | 1.2 Kutathmini athari za mfumo wa ukoloni kwenye maadili ya jamii za Kitanzania | (a) Kueleza hali ya maadili ya jamii za Kitanzania kipindi ukoloni unaingia | Hali ya maadili ya jamii za Kitanzania kipindi ukoloni unaingia imeelezwa | Machi | Wiki 1-4 | 2 | TIE(2023) Historia ya Tanzania na maadili, kitabu cha mwanafunzi kidato cha Pili | Changanyakete: Gawa wanafunzi katika vikundi na kila kikundi kisome matini kuhusu hali ya maadili ya jamii mojawapo ya Kitanzania kipindi ukoloni unaingia. Kisha kila kikundi kitoe mwakilishi kwenda kikundi kingine kufundisha walichojifunza katika kikundi chao. | Matini kuhusu athari za mfumo wa ukoloni kwenye maadili ya jamii za Kitanzania |
|
Remarks Written here |
| 1.0 Kumudu historia ya Tanzania na maadili wakati wa ukoloni, 1890- 1960 | 1.2 Kutathmini athari za mfumo wa ukoloni kwenye maadili ya jamii za Kitanzania | (b) Kuchambua athari za mfumo wa ukoloni katika maadili ya jamii za Kitanzania | Athari za mfumo wa ukoloni katika maadili ya jamii za Kitanzania zimechambuliwa kwa kina | Aprili | Wiki 4 | 3 | TIE(2023) Historia ya Tanzania na maadili, kitabu cha mwanafunzi kidato cha Pili | Utafiti mdogo: Elekeza kila mwanafunzi kusoma matini kutoka katika vyanzo mbalimbali na kuandika maelezo kuhusu athari za mfumo wa ukoloni katika maadili ya jamii za Kitanzania. | Matini kuhusu athari za mfumo wa ukoloni kwenye maadili ya jamii za Kitanzania |
|
Remarks Written here |